• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

WAFANYAKAZI WAPEWE MOTISHA KAZINI

Imewekwa: May 1st, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwamvua Mrindoko, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), akisisitiza umuhimu wa kutoa heshima kubwa kwa wafanyakazi ili kuongeza ari na motisha kazini. Amesema kutambua mchango wa wafanyakazi ni njia madhubuti ya kuongeza tija katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Aidha, Mhe. Mrindoko amesisitiza kuwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanapaswa kushirikiana na Serikali katika kuboresha ustawi wa wafanyakazi nchini. Amesema anawapongeza watumishi kwa bidii na uadilifu katika utendaji kazi, na kuwataka waendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais kwa kuwa wao ndio mashuhuda wa mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Mkuu wa Mkoa ameeleza kuwa Serikali inaendelea kutoa fedha za maendeleo, ambapo hadi sasa zaidi ya shilingi trilioni 1.3 zimetolewa kwa ajili ya shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na malipo ya posho, likizo na mafao ya wafanyakazi, kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa.

Kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkurugenzi Mtendaji, wakuu wa idara na watumishi wamehudhuria kwa pamoja, wakionesha mshikamano na uzalendo.

 Maadhimisho hayo pia yamehusisha utoaji wa zawadi kwa wafanyakazi bora kutoka sekta mbalimbali, kama ishara ya kutambua mchango wao katika maendeleo. Baadhi ya wafanyakazi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wamepokea tuzo, ikiwa ni sehemu ya kutambua utendaji wao bora katika Mkoa wa Katavi na Taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA UKUSANYAJI WA MAPATO February 02, 2026
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA MRADI WA KITUO CHA AFYA IBINDI August 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA November 13, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HOSPITALI YA WILAYA YA NSIMBO YATOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA MARA YA KWANZA

    February 12, 2026
  • ZOEZI LA UHAKIKI NA UGAWAJI KADI ZA BIMA YA AFYA LAANZA RASMI NSIMBO

    February 06, 2026
  • HAKIKISHEN MNAWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI-DC MPANDA

    January 22, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA NSIMBO LAFANYA KIKAO CHA KAMATI KUWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI ROBO YA PILI 2025/2026

    January 22, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa