• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Ardhi na Maliasili

IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

 

Idara ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ina vitengo vya Uthamini, Mipango Miji, na Urasimu wa Ramani, Upimaji Ardhi, Ardhi Utawala, na Maliasili. Kwa ujumla lengo kuu la Idara ni kuhakikisha maendeleo endelevu ya Wilaya na uhifadhi wa maliasili Mazingira kwa manufaa ya wananchi kwa sasa na vizazi vijavyo. Shughuli zinazofanywa ili kufikia lengo hilo kuu ni pamoja na;

  • Kutoa elimu na hamasa kwa wadau juu ya uendeshaji endelevu wa Ardhi ya Wilaya na kuitumia ardhi kama mtaji wa kuboresha uchumi wao, na kupunguza umasikini.
  • Kutoa huduma zihusuzo uendelezaji ardhi ikiwa ni pamoja na utayarishaji viwanja na umailikswaji wake, kufanya tathumini ya ardhi na mali iliyoko juu yake. 
  • Kuelekeza ukuaji wa Wilaya na taratibu zake kisheria, na kukusanya mapato ya serikali yahusuyo ardhi
  • Kutoa elimu ya hamasa juu ya utunzaji wa misitu na kudhibiti uvunaji holela wa mazao ya misitu.
  • Kutoa elimu ya uhifadhi wa misitu na vyanzo vya maji.
  • Kuhamasisha upandaji na utunzaji wa miti.

Misitu. 

Halmashauri ina hekta 11,552,200ha za Misitu na maeneo ya Uwindaji. Misitu hii ni ya Msaginya,Mpanda North East F.R, Mlele Hills F.R, na Maeneo ya uwindaji ya Mlele kaskazini na msima magharibi iliyopo ugalla.

 

Shughuli za Kiutalii

 

Hifadhi ya taifa ya Katavi ipo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo na Mlele. Hifadhi hii hupokea wageni wa ndani na nje ya nchi kutoka  duniani kote. Hifadhi huendesha shughuli za kuongoza watalii, kupiga picha, malazi, kutoa chakula kwa watalii na shughuli zingine muhimu za kiutalii

 

Uwindaji wa kitalii. 

Kwa Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo, shughuli za uwindaji wa kitalii hufanyi katika vitalu wiwili vya Msaginya West (3,500 km2)   na Mulele North Hunting Block (3,000 km2).

 

 

Mafanikio 

 

Katika kipindi cha 2015/2016 jumla ya viwanja 2002 vilibuniwa na kati ya hivyo viwanja 576 vimepimwa na taratibu za ugawaji zinaendelea baada ya uthamini kukamilika.  Pia jumla ya miti 674,500 imepandwa katika maeneo mbali mbali ya wilaya. Aidha Ili kuhakikisha kasi ya upimaji wa viwanja katika maeneo ya wilaya, idara inatarajia kununua vifaa cha upimaji viwanja  “Total station”, “GPS” na “Ranging poies” Vifaa hivi vitasaidia idara kuboresha na kurahisisha utoaji huduma kwa wakazi wa Nsimbo.

 

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI BORA WA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE (LAAC)

    June 19, 2025
  • MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA WAZINDULIWA RASMI NSIMBO, MKOANI KATAVI

    June 09, 2025
  • KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    June 01, 2025
  • USHIRIKIANO WA JAMII NA VIONGOZI WA SERIKALI KUONDOA UDUMAVU NSIMBO

    May 30, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa