WASIFU WA IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA
Idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo inabeba jukmu kubwa la usimamizi wa rasilimali watu pamoja na usimaimizi wa maeneo yote ya Kiutawala ndani ya Halmashauri.
Idara inatekeleza majukumu yake ya kila siku kwa kuzingaita Sheria,Kanuni Taratibu pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na Ofisi ya Rais Utumishi.
Watumishi wa Idara ya Utawala
Jina: Betuely Joseph Ruhega
Cheo:Mkuu wa Idara
Elimu:Shahada ya uzamili ya Usimamizi wa rasilimali watu
(Chuo Kikuu cha Dar es Salaam)
Mawasiliano:
Simu: +255766756688
Barua pepe: bruhega@gmail.com
Jina:James Kombo Masyenene
Elimu:Stashahada ya Uzamili katika usimamizi wa rasilimali watu
(Chuo cha Diplomasia Kurasini)
Mawasiliano:
Simu:+255625265285
Barua pepe: kombojames6@gmail
Jina:Alexanda Kazonda
Elimu:Shahada ya Usimamizi wa rasilimali watu
Open Universty of Tanzania
Mawasiliano:
Simu:+255762067260
Barua pepe: alexandakazonda@ymail.com
Majukumu ya Idara
Kiufupi Idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Nsimboinatekeleza majukumu yafuatayo;
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : +2552955164
Simu: +255713992124
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa